
Mwanamke mmoja nchini China amegundulika kuwa na ugonjwa wa ajabu, ambao huripotiwa mara chache sana kwa watu.
Mwanamke huyo ambaye amejulikana kwa jina la Chen, aliamka na kujikuta hawezi kusikia sauti ya mpenzi wake, na kuamua kwenda Hospitali.
Alipofanyiwa vipimo na madaktari, mwanamke huyo aligundulika kuwa na tatizo hilo, ambapo yeye husikia sauti zote kasoro za wanaume tu pekee.
Tatizo hilo linajulikana kwa jina la ‘reverse-slope hearing loss’, ambao humfanya mtu kusikia sauti zenye ‘mawimbi mazito’ pekee. Ugonjwa huo hutokea nadra sana, ambapo imetajwa kuwa kati ya watu 13,000, mtu mmoja tu ndiye anayeweza kuwa na hatari ya kukubwa na ugonjwa huo.
Ugonjwa huo unaweza kusababishwa na vinasaba ambapo pia mtu anaweza akawa hajawahi kusikia sauti ya chini mfano ile ya muungurumo wa friji, na asigundue tofauti.
Kwenye kesi ya bi Chen, imegundulika kuwa alikuwa akifanya kazi kupitiliza, na kuufanya mwili wake kuchoka, kukosa usingizi na kumfanya apate msongo wa mawazo uliompeleka kupata tatizo hilo la kusikia sauti za wanaume pekee
from MALUNDE 1 BLOG https://ift.tt/2Hqb8Uc
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





