
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetolea ufafanuzi juu ya uwepo wa msalaba kwenye jezi ya timu ya taifa ‘Taifa Stars’, ambayo imezua gumzo mitandaoni, na kusema kwamba hawaitambui jezi hiyo.
Kwenye taarifa iliytolewa na Afisa Habari wa TFF, Cliford Ndimbo kwa vyombo vya Habari, imesema kwamba wao hawahusiki na jezi hiyo, na kutoa onyo kali kwa watakaokutwa wanaiuza au kuisambaza.
“TFF haihusiki na jezi hiyo ambayo si sehemu ya jezi inayotumiwa na Timu ya Taifa, tunawaonya wote wanaoza jezi ambazo si sahihi, kuacha mara moja kabla TFF haijachukua hatua kali”, imeeleza taarifa hiyo.
Hivi karibuni kumezagaa jezi ambazo zinasadikiwa kuwa za Taifa Stars zenye picha ya msalaba kifuani, na kuleta gumzo mitandaoni huku kukiibuliwa masuala ya tofauti ya imani za kidini.
Isome taarifa yote hapa
.jpg?itok=Sfj84C7-)
from MALUNDE 1 BLOG https://ift.tt/2HEN3d6
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





