Meneja wa Msanii Maarufu wa Nyimbo za injili nchini Rose Mhando Bw.Abel Makalla amesema Msanii huyo anatarajia kuzindua albamu mbili ambapo moja itakuwa na nyimbo zake zilizowahi kuweka rekodi na nyingine mpya ambapo albamu hiyo ya nyimbo za zamani ameipa jina la best of Rose Mhando pamoja na nyingine mpya inayoitwa Amefanya zitakazozinduliwa kwa pamoja hivi karibuni.

Makala amesema wapenzi na Mashabiki wa nyimbo za injili wakae tayari kwa mapokezi kwani albamu zote mbili zimekamilika na maandalizi yanaendelea vizuri hivyo watapewa taarifa kupitia vyombo vya habari kuhusu uzinduzi rasmi wa kazi hizo zinazosubiriwa kwa hamu na watu wengi.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







