Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga Afrika, Ali Kamwe amesema kuwa ndoto ya mfadhili na Mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, Yusufu ManJi inakwenda kutimia siku si nyingi.
Amesema Manji alikuwa na ndoto ya kuona Yanga inatwaa ubingwa wa Afrikana kwamba timu hiyo inaendelea kujipanga kutimiza ndoto hiyo. Manji alifariki dunia hivi laribuni nchini Marekani alikokuwa akitibiwa.
Kufuatia kifo hicho, Kamwe ametoa salamu za pole kwa mashabiki wote nawapenzi wa Yanga na kumwombea mapumziko mema huko alikotangulia.
“Kwa nÃaba ya viongozi wa Young Africans, kamati ya utendaji yote, sekretarieti, wanachama, mashabiki na wapenzi wa Yanga tumepokea kwa mshtuko sana taarifa ya msiba huus. Sisi Yanga tutaendelea kumwenzi ManJi na tunaomba Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahala pema peponi,” amesema Kamwe.
Kamwe amesema hayo leo Julai 1, 2024 katika Makao Makuu ya Klabu ya Yanga, Jangwani Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kusherehekea ujio wa Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama ambaye Jana alimaliza mkataba wakena Klabu ya Simba na leo ametangazwa rasmi kwa ni ‘Mwananch
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







