Wakati mzee Magoma akizidi kukamata vichwa vya wapenda michezo nchini kutokana na sakata lake na uongozi wa Klabu ya Yanga.
Upande wa Pili Klabu ya Simba SC inajiandaa na maandalizi ya Tamasha lake kubwa la “Simba Day” linalotarajiwa kufanyika Agosti 3 katika Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Sasa katika hali ya kushangaza, Meneja wa Habari na Mawasiliano ya Klabu ya Simba, Ahmed Ally kupitia Ukurasa wake wa Instagram leo Juni 19 ameandika;
“Mgeni Rasmi Simba Day ni Mzee Magoma … Ubaya Ubwela”
Haijulikani kama Msemaji huyo anafanya utani ama anamaanisha alichokiandika.
Je wewe Shabiki wa Mnyama ungependa Mzee Magoma kupewa heshima hiyo, Tupe maoni yako.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







