Mwanafunzi wa Shule ya Msingi apigwa na butwaa,Alichofanyiwa na RC Chongolo leo hajaamini

Admin Updates9 months ago5 Views

 
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo akimtengeneza kola ya shati mwanafunzi wa shule ya Msingi Kanga wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua kiradi ya maendeleo katika Wilaya ya Songwe.

. Chongolo ambaye ameambatana Kamati ya Usalama ya Mkoa na Sekretarieti ya Mkoa wa Songwe ameanza ziara hiyo leo Jumatatu Agosti 19, 2024, ambapo mradi wa kwanza wa utunzaji wa mazingira katika Kata ya Ifwenkenya alianza saa 11:00 alfajiri.

Katika ziara yake Mhe. Chongolo amekagua ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika Shule ya Msingi Kanga pamoja na mradi wa maji wa maji wa Gaula-Ilasilo-Kanga-Tete.

Mkuu wa Mkoa na ujumbe wake wamepokelewa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Songwe, ndugu Godfrey Kawacha, Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kamati ya Usalama ya Wilaya, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe, CPA. Cecilia Kavishe, wakuu wa taasisi za Serikali za Wilaya pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo qa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe

Previous Post

Next Post

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.