Lile dili la Sh 3 bilioni limeota mbawa. Ndicho unachoweza kusema baada ya miamba ya soka ya Libya ๐ฑ๐พ Al Ettihad kuachana na mpango wa kumsajili straika wa Yanga, Clement Mzize ๐น๐ฟ na badala yake kunasa saini ya Tumisang Orebonye, raia wa Botswana.
Nyota huyo amejiunga na kikosi hicho akitokea AS FAR Rabat ya Morocco aliyo jiunga nayo Januari mwaka jana akitokea USM Alger ya Algeria akishinda taji la Kombe la Shirikisho Afrika msimu wa 2022-2023 na USM Alger, sawa na CAF Super Cup 2023.
.
Kitendo cha nyota huyo kutua kwa miamba hiyo kimefanya dili la Mzize kukwama, licha ya kiasi kikubwa cha dola milioni 1.2 (Sh 3.1bilioni) ambacho Yanga ingekipata. Mzize amekuwa na kiwango bora akiwa na Yanga anayoitumikia kwa misimu mitatu sasa ambapo hadi sasa amefunga mabao tisa ya Ligi Kuu akiongoza mbio za ufungaji bora.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







