Boti Kubwa ya Uokozi yasafirishwa kutoka Mtwara hadi Mwanza kupitia mikoa tisa

Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kuelekea Mwanza kupitia mikoa tisa kwa ajili ya uokozi ziwa Victoria ikiwa imeanza safari yake. Na Regina Ndumbaro-Mtwara Boti kubwa ya uokozi kwa ajili ya Ziwa Victoria imeanza safari yake ya kusafirishwa kutoka mkoani Mtwara kuelekea Mwanza, ikiwa ni juhudi za serikali kuimarisha shughuli za uokoaji kwenye ziwa hilo. Boti hiyo, … Continue reading Boti Kubwa ya Uokozi yasafirishwa kutoka Mtwara hadi Mwanza kupitia mikoa tisa